CERTIFICATE AND DIPLOMA TEACHER'S EXAMINATION

Thu, Jun/03, 2021 Details

MITIHANI YA UALIMU INAYOANDALIWA NA BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR

AINA YA MTIHANI

VIGEZO VYA KUFANYA MTIHANI

KIPINDI CHA  USAJILI

MUDA WA MTIHANI

CHETI CHA UALIMU MAANDALIZI NA MSINGI AWALI (ECD)

 

 • Mtahiniwa awe amemaliza Kidato cha Nne na kufaulu masomo yasiopungua Matano (5) kwa angalau kiwango cha “D” likiwemo somo la Sayansi.

 

1 JULAI - 30 SEPTEMBA

NOVEMBA (WIKI YA MWANZO)

 

STASHAHADA YA UALIMU MSINGI MIAKA MIWILI (2)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 • Mtahiniwa awe amesomea ualimu ngazi ya cheti na kufaulu.
 • Awe na uzoefu wa kufundisha si chini ya miaka miwili (2) baada ya kumaliza masomo ya cheti (kwa muajiriwa).
 • Awe amefaulu si chini ya masomo matatu (3) au zaidi ya Kidato cha Nne (CSEE) na mawili (2) yawe angalau katika kiwango cha “C”.

                AU

 •  Awe amefaulu masomo yasiyopungua matano (5) ya Kidato cha Nne angalau kwa kiwango kwa cha “D” katika mwaka mmoja wa mtihani (same seat).

          AU

 •  Awe amefaulu Kidato cha Sita (ACSEE).

 

1 JANUARI – 28 FEBUARI

 

MEI

 

STASHAHADA YA    UALIMU MSINGI SAYANSI MIAKA MITATU (3)

 

 

 

 

 • Mtahiniwa awe amefaulu  Kidato cha Nne (CSEE) masomo yasiyopungua matano (5). Mawili kati ya hayo yawe na angalau kiwango cha “C”. na masomo matatu (3) yawe angalau kwa kiwango cha “D”. Ni lazima awe amefaulu masomo  mawili (2) ya Sayansi.

1 JANUARI - 28 FEBUARI

MEI

 

STASHAHADA YA UALIMU MSINGI SANAA MIAKA MITATU (3)

 

 

 

 

 • Mtahiniwa awe amefaulu Kidato cha Nne (CSEE) masomo yasiyopungua matano (5). Masomo mawili kati ya hayo yawe na angalau kiwango cha “C”. na masomo matatu (3) yawe angalau kwa kiwango cha “D”. Ni lazima awe amefaulu masomo mawili (2) ya Sanaa.

1 JANUARI - 28 FEBUARI

MEI

 

STASHAHADA YA UALIMU MSINGI DINI/KIARABU

MIAKA MITATU (3)

 

 

 

 • Mtahiniwa awe amefaulu Kidato cha Nne (CSEE) masomo yasiyopungua matano (5).  Mawili kati ya hayo yawe  angalau kwa kiwango cha “C”. na  masomo Matatu (3) yawe angalau kwa kiwango cha “D”. Ni lazima awe amefaulu masomo ya  Dini na Kiarabu.

1 JANUARI - 28 FEBUARI

MEI

STASHAHADA YA UALIMU SEKONDARI DINI/ KIARABU

 

 • Mtahiniwa awe amefaulu mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti
 •  Awe na uzoefu wa kufundisha si chini ya miaka miwili (kwa muajiriwa)
 • Awe amefaulu angalau masomo matatu (3) ya Kidato cha Nne (CSEE) mawili (2) yawe angalau na kiwango cha “C”.

                  AU

 • Awe amefaulu masomo yasiyopungua matano (5) ya Kidato cha Nne  angalau kwa kiwango cha “D” katika mwaka mmoja wa Mtihani (same seat)

                  AU

 •  Awe amefaulu Kidato cha Sita (ACSEE).

1 JANUARI- 28 FEBUARI

MEI