Kufunguliwa kwa Dirisha la Usajili Darasa la Tatu, Saba na Kidato cha Pili 2026

calendar_monthJanuary 12, 2026

Uongozi wa Baraza la Mitihani la Zanzibar unawajulisha Walimu wakuu na Wasajili kuwa Dirisha la Usajili kwa Watahiniwa wa Darasa la Tatu, Saba na Kidato cha Pili limefunguliwa rasmi kwa mwaka 2026 kuanzia tarehe 08/01/2026 hadi 30/032026.

Hivyo, Walimu wakuu wanatakiwa kusimamia Usajili wa wanafunzi pamoja na upandishwaji wa picha. 

Attachments
north