Ziara ya kukagua hali ya Mitihani ya kidato cha sita

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma amefanya ziara katika Skuli za Unguja kwa ajili ya kukagua hali ya Mitihani ya Taifa ya kidato cha sita ilivyoanza.

kuvunjwa Bodi ya Taasisi ya Elimu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma ameitaka bodi ya ushauri ya Taasisi ya Elimu Zanzibar kuhakikisha inaendelea kutunza siri za kazi zao ili kuhakikisha amani na utuliv

Ufunguzi wa Wiki ya Elimu ya Juu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma amewataka Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Elimu ya Juu kuitumia vizuri fursa walioipata ya Wiki ya Elimu ya Juu kwa kuweza kujifun

WELCOME TO BMZ
The Zanzibar Examinations Council (ZEC) was previously known as the Zanzibar Educational Measurement and Evaluation Board. ZEC was formally established by mandate of Act No. 6 of 2012 of the House of Representatives in Zanzibar.

Currently the Ministry of Education and Vocational Training is responsible for allocating staff to ZEC, providing policy guidelines and issuing subvention grants. Since ZEC is not currently receiving any support from development partners, the bulk of its funding comes from the RGoZ through these subvention grants. The director of the Zanzibar Examinations Council is responsible for giving directives to ZEC officials while also acting as a mediator between the Ministry of Education and Vocational Training and ZEC.