MABADILIKO YA RATIBA YA UPIMAJI WA KITIFA WA KIDATO CHA PILI KWA MWAKA 2026

calendar_monthSeptember 3, 2026 TAARIFA KWA UMMA

Baraza la Mitihani la Zanzibar linawajulisha Watahiniwa, Walimu Wakuu, Walimu, Wazazi/Walezi na Wadau wa Elimu kuwa kumekuwa na mabadiliko ya Ratiba ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili kwa mwaka 2026 kwa masomo ya Book keeping na French Language. Pakua Nakala ya Ratiba katika website   

Attachments
north