Kutolewa kwa Nambari za Awali za watahiniwa

calendar_monthJuly 17, 2026 TAARIFA MAALUM

Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuwajulisha Walimu Wakuu wa Skuli za Serikali na binafsi kwa Ngazi ya Msingi na Sekondari kuwa wanatakiwa kuingia katika mfumo wa Usajili (OZEMS) na kupakua (download) nambari za awali za watahiniwa kwa ngazi zote, kuanzia tarehe 16/7/2026.

Attachments
north